Jumatano, 9 Aprili 2014

MILA NA TAMADUNI POTOFU ZAZIDI KUWAKANDAMIZA WANAWAKE NCHINI, JAMAA AAMUA KWENDA KUMUOA MAMA YAKE KAMA URITHI BAADA YA BABA YAKE MZAZI KUFARIKI

Mila na tamaduni potofu za baadhi ya jamii za Kiafrika na Tanzania ikiwemo zimekuwa zikitajwa kuendelea kuwa kandamizi kwa binadamu hasa wa jinsi ya kike ambapo vitendo mbalimbali vya unyanyasaji vimekuwa vikiripotiwa kutokea kwa jamii hizo ambapowatu wenye  jinsi ya kike wamekuwa wahanga wakubwa wa mila na desturi hizo.

Yafuatayo ni mahujiano yaliyofanywa na Clouds Fm ya jijini Dar ambapo imeripoti kuwa Mama mmoja mkazi wa Kimara jijini Dar es salaam amekimbiwa na Mumewe aliyeenda kwao kuoa kwa kumrithi mke wa marehemu baba yake mzazi baada ya baba yake huyo kufariki. 

Ebu sikiliza kisa hiki kupitia kipindi cha Heka Heka cha Clouds Fm kisha tupe maoni yako.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni