Jumatano, 9 Aprili 2014

ZAWADI YA KUFELISHA

Mratibu wa Elimu Kata Mursagamba wilayani Ngara mkoani Kagera, George Rwetabura akipokea Kinyago kutoka kwa Katibu Tawala, Vedastus Tibaijuka baada ya kata yake kuwa ya mwisho kitaaluma kati ya kata 20 za wilaya hiyo. Picha na Shaaban Ndyamukama, Mwananchi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni